Mwili wa mmiliki wa mabasi ya Supersami Samson Kosiah umepatikana ukiwa umefungwa kwenye kiroba ndani ya mto na uligunduliwa na wavuvi.