Diamond awaliza Wakenya jukwaani na historia ya maisha yake
2018-03-16
8
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz jana ilikuwa ni siku ya uzinduzi wa album yake ya A BOY FROM TANDALE ambapo aliweza kuelezea historia yake ya maisha kutoka Tandale hadi kuwa mtu maarufu.