Wema Sepetu ashindwa kujizuia mbele ya Papii Kocha

2018-03-11 11

Katika Show ya Babu Seya na Papii Kocha, miongoni mwa mastaa waliyoweza kucheza vizuri na Papii Kocha ni Wema Sepetu.