Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha ameibua mapya kuhusu mtoto wake aliyezaa na mke wake wa zamani Mwanamuziki Flora ambaye sasa anajulikana kama Madam Flora