Freeman Mbowe azungumzia suala la kuuawa kwa viongozi wa Chama chake, Uchaguzi kugeuka na kuwa uwanja wa vita na mauaji, Pia ameikosoa sana serikali, Chama Cha mapinduzi, Msajili wa Vyama vya siasa, Tume ya Uchaguzi na Mahakama kuungana na kuwa kitu kimoja kinachowakandamiza wapinzani na kuumiza demokrasia nchini Tanzania