Msimamo wa COTU: amewataka waajiri kote nchini kuwaongezea mishahara wafanyikazi wao

2016-05-01 1

Muungano wa Vyama vya Wafanyikazi nchini COTU umefanya mkutano wake wa maombi kwa matayarisho ya kusherehekea siku ya wafanyikazi duniani