Athari za mvua katika kauti ya Nakuru

2016-04-26 1

Zaidi ya watu 70 usiku wa kuamkia leo mtaa wa kwa Rhoda kaunti ya Nakuru walilala nje kutokana na mafuriko yalioletwa na mvua zinazonyesha sehemu hio.