Chase Bank kufunguliwa upya tarehe 27, asema gavana wa benki kuu Patrick Njoroge

2016-04-26 1

Gavana wa benki kuu ya Kenya Patrick Njoroge atangaza benki inayokumbwa na matatizo ya Chase Bank itafunguliwa upya tarehe 27, mwezi huu. Tangazo