Sekta ya sukari kwa muda imeyumbishwa na sakata ya ufujaji wa fedha, na kuwaacha wakulima na wakataji wa miwa bila lolote la kujivunia, licha ya bidii yao