Wanafunzi kadhaa wamejeruhiwa katika chuo kikuu cha Kenyatta kilichoko barabara kuu ya Thika kufuatia rabsha zilizotokana na hofu ya uvamizi wa kigaidi