Mkulima atengeneza chakula cha kuku kutoka kwa mayai ya Nzi

2016-03-07 1

Kampuni moja huko Kinanie eneo la Mlolongo kaunti ya Machakos , imebuni utengenezaji wa chakula cha kuku, nguruwe na samaki kwa kufuga aina ya nzi