Mahakama kuu sasa imeiagiza serikali kuwafidia shilingi milioni 40.9 waathiriwa wa mkasa wa moto uliotokea katika shule ya upili ya Changuli mwaka 2001.