Waziri Matiangi afanya ziara ya ghafla katika shule tofauti Nyeri

2016-03-06 5

Waziri wa Elimu Fred Matiangi, amewakemea waalimu wanaowaadhibu wanafunzi kwa mijeledi, akisema kuwa namna hiyo ya adhabu imepitwa na wakati.

Free Traffic Exchange