Mawakili humu nchini kupitia chama chao cha wanasheria -LSK- walienda debeni kuwachagua viongozi watakaoshikilia hatamu za uongozi wa muungano huo