Wenyeji wa kijiji cha Alufu kaunti ya Kakamega, kwa mara nyingine tena huenda wakakosa usingizi kufuatia mazingaombwe yanayoendelea katika kijiji hicho.