Zaidi ya asilimia 20 ya madaktari ambao wamefuzu wamesemekana kuendeleza biashara ya ukeketaji wa wanawake huku utamaduni huo ukizidi kukita mizizi