Mwanaume mmoja katika kaunti ya Wajir amemdunga mkewe kwa kisu shavuni hadi kuvunja mfupa wake baada ya mzozo wa kifamilia. Fatuma Ibrahim