Bomoabomoa maeneo ya Mbezi Beach DSM kwa wale waliovamia maeneo ya serikali.

2015-11-23 1

Zoezi la bomoabomoa linaendelea maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam kwa wale waliovamia maeneo yasiyo ruhusiwa na kujenga nyumba.